Sponsored Links

Billnass – Maokoto Lyrics

Wee Zombie Sikutaji Humu Eeehh
Allooo
Shiiii
Nimemwacha Mama Nyumbani Nimeacha Madogo
Nimemwacha Bebi Nyumbani Nimeacha Urodaa
Nimemwacha Baba Nyumbani Nimeacha Wazee
Kunanuka Shida Nyumbani Oohhooo
Kwaiyoo Boss Mmmhhh
Zingatia Maokoto
Alloooo
Si Ndio Boss
Zingatia Maokoto

Naenda Kama Kichwa Ujue Nikifelisha Hakuendeki
Maliwato
Nisipofanikisha Itaota Majani Ile Njia Ya
Maliwato
Tumetoka Far Away Tumekuja Kutafuta Hela
Nishamwaga Jasho Yote Nataka Hela
Tumetoka Far Away Tumekuja Kutafuta Hela
Usilete Maneno Maneno
Naomba Hela Yangu
Alloooo

Nasema Boss Nataka Changu
Eeeehhh Oyaaahhh Eeehhh
Naomba Hela Yangu
Nakuheshimu Boss Nataka Changu
Kichwa Change Hakiko Sawa
Nilipe Nisepe
Baba Mwenyenyumba Ananidai
Nilipe Nisepe
Ooohhh Leo Siko Sawa
Nilipe Nisepe
Usitake Tushikane Matai
Nilipe Nisepe

Boss Boss Izo Noti Noti Kata Pasu Langu
Zingatia Maokoto
Jua Langu Mvua Yangu Aisee Nipe Changu
Zingatia Maokoto
Boss Boss Izo Noti Noti Kata Pasu Langu
Zingatia Maokoto
Jua Langu Mvua Yangu Aisee Nipe Changu
Zingatia Maokoto
Tukigawana Majengo Mimi Naenda Jela
We Nzee
Nikiongea Kwa Vitendo Mtaniona Mi Msela
We Nzee
Naenda Kama Kichwa Ujue Nikifelisha Hakuendeki
Maliwato
Nisipofanikisha Itaota Majani Ile Njia Ya
Maliwato
Tumetoka Far Away Tumekuja Kutafuta Hela
Nishamwaga Jasho Yote Nataka Hela
Tumetoka Far Away Tumekuja Kutafuta Hela
Usilete Maneno Maneno
Naomba Hela Yangu
Alloooo

Nasema Boss Nataka Changu
Eeeehhh Oyaaahhh Eeehhh
Naomba Hela Yangu
Nakuheshimu Boss Nataka Changu
Kichwa Change Hakiko Sawa
Nilipe Nisepe
Baba Mwenyenyumba Ananidai
Nilipe Nisepe
Ooohhh Leo Siko Sawa
Nilipe Nisepe
Usitake Tushikane Matai
Nilipe Nisepe

Maokoto Song Info:

Song: Maokoto
Band/Singer: Billnass & Marioo
Lead Vocals: Billnass & Marioo
Lyrics: Billnass
Music: Billnass
Music Label: Billnass
Featuring: Billnass & Marioo
Release Date: August 26, 2023

084Hype FAQs & Trivia

Who wrote the lyrics of the “Maokoto” song?
Billnass has written the lyrics of “Maokoto”.

Who is the singer of the “Maokoto” song?
Billnass and Marioo have sung the song “Maokoto”.

Who is the music producer of the “Maokoto” song?
“Maokoto” song music was produced by Billnass.

When was the “Maokoto” song released?
“Maokoto” song was released on August 26, 2023.

Maokoto Music Video

Billnass feat Marioo - Maokoto ( Official Music Video )Billnass feat Marioo - Maokoto ( Official Music Video )